Mkuu, ununuaji wa projector unategemea sana na matumizi na connection zake, kama unahitaji kwa matumizi uliyo yaeleza hapo juu, basi unaweza kuitafuta hii Acer X1130P SVGA Projector.
Wadau ninaomba ushauri ni aina gani ya Projector kwa ajili ya presentation ou video projection. Ntashukuru kama ntapata ushauri wa kitaalam, specification, Picha pamoja na Price (approximately).
Naomba kuwasilisha kwa matumaini makubwa kwamba ntapata msaada kutoka kwa Great Thinker.