Msaada- Nahitaji Ramani ya Tanzania inayoonesha wilaya zote na vijiji vya kila wilaya

Msaada- Nahitaji Ramani ya Tanzania inayoonesha wilaya zote na vijiji vya kila wilaya

Daady

Member
Joined
Jul 22, 2010
Posts
64
Reaction score
19
Samahani wandugu,

Nina shida na Ramani ya Tanzania inayoonesha wilaya zote na kama ikiwezekana vijiji pia.

Asanteni,

Daady
 
Mkuu umeshindwa hata kuanza na google aisee?
Mbona zipo image kibao tu za ramani hapo google. Embu anzia hapo kwanza ukishindwa rudi tena ubaoni
 
Samahani wandugu,

Nina shida na Ramani ya Tanzania inayoonesha wilaya zote na kama ikiwezekana vijiji pia.

Asanteni,

Daady

Kama vipi tuongee biashara mi najua kuchora.
 
Ramani za vijiji vipya zinapatikana NBS au Takwimu na zinauzwa. Zinakuwa ktk pdf format. Wilaya au mikoa mipya google utazipata ila vijiji hawaweki wanauza. Na sio rahisi kuonyesha ktk Tanzania nzima wilaya. Kuna wale ofisi za ramani wanazo kwa baadhi tu halafu posters nyingi za mkoloni sio msaada sana. Watembelee
 
Back
Top Bottom