Ramani za vijiji vipya zinapatikana NBS au Takwimu na zinauzwa. Zinakuwa ktk pdf format. Wilaya au mikoa mipya google utazipata ila vijiji hawaweki wanauza. Na sio rahisi kuonyesha ktk Tanzania nzima wilaya. Kuna wale ofisi za ramani wanazo kwa baadhi tu halafu posters nyingi za mkoloni sio msaada sana. Watembelee