Ya umeme au hydraulic?Habari Wana jamvi,nilikua naomba msaada kama nitapata steering rack ya bmw 5series
Zipo mkuu shida ukiipata kinakuja kiswahili cha kukaa kimya niliulizia bumper la Bmw x 3 kwani mtafutaji yupo tena baada ya kuipata...
Gari la zamani hilo!Boss what kind of spare parts naweza pata kwako?
Nahitaji Washer fluid pump na Crankshaft position Sensor.
Gari ni Gari ni BMW X3 2008.
Engine ni N52B25.