Msaada: Nahitaji vifaa vya mgahawa kwa kukodi au kuchangia na mtu mwenye shughuli ya mgahawa tayari

Msaada: Nahitaji vifaa vya mgahawa kwa kukodi au kuchangia na mtu mwenye shughuli ya mgahawa tayari

waguna

Member
Joined
Jun 19, 2020
Posts
14
Reaction score
31
Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye taaluma ya upishi pia nimechukuwa certificate ya maswala ya planning and so on.

Hivyo kwa sasa nilikuwa natafuta baadhi ya vifaa vya mgahawa iwe kwa ajiri ya kukodi au kushare nipo teyari kwa yeyote anaye husika na maswala ya migahawa na anavitu vya migahawani anicheki tufanye kazi kwa pamoja.

Napatikana Mabibo au kama kuna site yeyote inayo toa mikopo ya biashara nipo teyari mimi ni mwajiriwa na ninanyaraka zote zinazo muhusu mwajiriwa kwasasa tunahitaji kuongeza kipato zaidi sisi ndio taifa la kesho miaka yangu 23 contact 0758220288.
 
Back
Top Bottom