Msaada, nahitaji vitu gani kuwa na App?

Msaada, nahitaji vitu gani kuwa na App?

frival

New Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Habari wadau,

Nahitaji kujua ili niwe na App yangu itakayo run kwenye adroid na ios nifanyaje.
Mfano kiasi gani itanigarimu maximum kwa kuwalipa developers, vitu gani nifanye ili iwe safe in terms of security(sababu nataka nitoe hudumu kwa watu kulipiza kiasi kidogo).

Kifupi naomba elimu juu ya umiliki wa app ya kibiashara.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Salama mkuu?
Kuwa n app inahitaj vitu hivi kwa ufupi:-

1. Kuwa na idea ( nadhani utakuwa unayo tayari)

2. Kuelewa itahitaji features gani ili kukidhi mahitaji ya idea yako. Pia itamsaidia developer kujua atatumia technology gani kukutengenezea pia na gharama

3. Kujua itatumia na kundi/aina gani la watu(Eg. Watoto, watu wazima sana, wanafunzi, vijana)

4. Baada ya developer kufanya mambo yake, kuna baadhi ya malipo utabidi ufanye ili kuweka app store na playstore

5. Pia kupambana na kupata ratings za app yako ni muhimu sana
 
Bei ya kudevelop inaweza kuwa kiasi gani?
 
Asante mkuu, kwa mfano nataka utumike kwa watu wote yani hasa watoto na watu wazima na gharama za ku register app app store na play store zipoje?

Asante sana mkuu. Mfano nahitaji itumie kwa watu wa Rika zote Haiwezekani kufanya makadirio ya gharama za kumlipa devoloper na kulipia app store na play store?
 
google play store $25, apple app store $99. Developer payment ita depends na kazi yako pili technology itakayo tumika. mfano kama developer atatumia flutter basi bei itakuwa nafuu si sawa na atakaye develop native Kwa Kila platform.
 
Bei ya kudevelop inaweza kuwa kiasi gani?

Kama alivosema mtaalamu hapo juu, inategemea na features za app yako ili developer ajue ina upana gani na inategemea na technogy.

Kama developer atatumia “Flutter” ambayo inaweza kutengeneza app za ios na android kwa pamoja itakua nafuu zaidi.
Ikilazimika atumie technology mbili tofauti kwa kila platform (ios na android), gharama inaeza ikaonhezeka ata karibia mara mbili zaidi.
 
google play store $25, apple app store $99. Developer payment ita depends na kazi yako pili technology itakayo tumika. mfano kama developer atatumia flutter basi bei itakuwa nafuu si sawa na atakaye develop native Kwa Kila platform.
Kwa uzoefu wako inaweza kufikia sh ngapi? Yaani makadirio tu, nipate picha make nataka pia kudevelop app moja hivi niliiona inatumika India
 
Ukitaka nikufanyie Design ya User Interface ya App yako njoo PM, Bei rahisi tu
IMG_20220416_162226.jpg
 
Mkuu naona viwango vya kimataifa[emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iyo mbna ya kawaida sana mkuu

Ila sio constant inategemea tu na project enyewe. Nikiona kama challenging sana napunguza kabisa tu nisije nikamtoa mteja ela nyingi kwa kupoteza tu mda kutangatanga
 
emoji1787.png

I can work for $10/hr
Hii itanitoa nyonga mkuu 🤣🤣. Si unajua kwa sasa Kuna vita Ukraine 🇺🇦 huko. Na mama yu busy kidogo na royo Tua, 🤣🤣🤣 kidding. Nakufata dm tuone unapunguzaje?
 
Hii itanitoa nyonga mkuu [emoji1787][emoji1787]. Si unajua kwa sasa Kuna vita Ukraine [emoji1255] huko. Na mama yu busy kidogo na royo Tua, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidding. Nakufata dm tuone unapunguzaje?

Haina shida naelewa hali[emoji1] karibu
 
Back
Top Bottom