Bei ya kudevelop inaweza kuwa kiasi gani?Salama mkuu?
Kuwa n app inahitaj vitu hivi kwa ufupi:-
1. Kuwa na idea ( nadhani utakuwa unayo tayari)
2. Kuelewa itahitaji features gani ili kukidhi mahitaji ya idea yako. Pia itamsaidia developer kujua atatumia technology gani kukutengenezea pia na gharama
3. Kujua itatumia na kundi/aina gani la watu(Eg. Watoto, watu wazima sana, wanafunzi, vijana)
4. Baada ya developer kufanya mambo yake, kuna baadhi ya malipo utabidi ufanye ili kuweka app store na playstore
5. Pia kupambana na kupata ratings za app yako ni muhimu sana
Asante mkuu, kwa mfano nataka utumike kwa watu wote yani hasa watoto na watu wazima na gharama za ku register app app store na play store zipoje?Salama mkuu?
Kuwa n app inahitaj vitu hivi kwa ufupi:-
1. Kuwa na idea ( nadhani utakuwa unayo tayari)
2. Kuelewa itahitaji features gani ili kukidhi mahitaji ya idea yako. Pia itamsaidia developer kujua atatumia technology gani kukutengenezea pia na gharama
3. Kujua itatumia na kundi/aina gani la watu(Eg. Watoto, watu wazima sana, wanafunzi, vijana)
4. Baada ya developer kufanya mambo yake, kuna baadhi ya malipo utabidi ufanye ili kuweka app store na playstore
5. Pia kupambana na kupata ratings za app yako ni muhimu sana
Asante sana mkuu. Mfano nahitaji itumie kwa watu wa Rika zote Haiwezekani kufanya makadirio ya gharama za kumlipa devoloper na kulipia app store na play store?Salama mkuu?
Kuwa n app inahitaj vitu hivi kwa ufupi:-
1. Kuwa na idea ( nadhani utakuwa unayo tayari)
2. Kuelewa itahitaji features gani ili kukidhi mahitaji ya idea yako. Pia itamsaidia developer kujua atatumia technology gani kukutengenezea pia na gharama
3. Kujua itatumia na kundi/aina gani la watu(Eg. Watoto, watu wazima sana, wanafunzi, vijana)
4. Baada ya developer kufanya mambo yake, kuna baadhi ya malipo utabidi ufanye ili kuweka app store na playstore
5. Pia kupambana na kupata ratings za app yako ni muhimu sana
google play store $25, apple app store $99. Developer payment ita depends na kazi yako pili technology itakayo tumika. mfano kama developer atatumia flutter basi bei itakuwa nafuu si sawa na atakaye develop native Kwa Kila platform.Asante mkuu, kwa mfano nataka utumike kwa watu wote yani hasa watoto na watu wazima na gharama za ku register app app store na play store zipoje?
Asante sana mkuu. Mfano nahitaji itumie kwa watu wa Rika zote Haiwezekani kufanya makadirio ya gharama za kumlipa devoloper na kulipia app store na play store?
Bei ya kudevelop inaweza kuwa kiasi gani?
Kwa uzoefu wako inaweza kufikia sh ngapi? Yaani makadirio tu, nipate picha make nataka pia kudevelop app moja hivi niliiona inatumika Indiagoogle play store $25, apple app store $99. Developer payment ita depends na kazi yako pili technology itakayo tumika. mfano kama developer atatumia flutter basi bei itakuwa nafuu si sawa na atakaye develop native Kwa Kila platform.
Ukitaka nikufanyie Design ya User Interface ya App yako njoo PM, Bei rahisi tuKwa uzoefu wako inaweza kufikia sh ngapi? Yaani makadirio tu, nipate picha make nataka pia kudevelop app moja hivi niliiona inatumika India
Bei ya kudevelop inaweza kuwa kiasi gani?
Mkuu naona viwango vya kimataifa😂I can work for $10/hr
GreatUkitaka nikufanyie Design ya User Interface ya App yako njoo PM, Bei rahisi tu
View attachment 2207241
Mkuu naona viwango vya kimataifa[emoji23]
Iyo mbna ya kawaida sana mkuu
Ila sio constant inategemea tu na project enyewe. Nikiona kama challenging sana napunguza kabisa tu nisije nikamtoa mteja ela nyingi kwa kupoteza tu mda kutangatanga
Hii itanitoa nyonga mkuu 🤣🤣. Si unajua kwa sasa Kuna vita Ukraine 🇺🇦 huko. Na mama yu busy kidogo na royo Tua, 🤣🤣🤣 kidding. Nakufata dm tuone unapunguzaje?I can work for $10/hr
Hii itanitoa nyonga mkuu [emoji1787][emoji1787]. Si unajua kwa sasa Kuna vita Ukraine [emoji1255] huko. Na mama yu busy kidogo na royo Tua, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidding. Nakufata dm tuone unapunguzaje?