Msaada nahitaji waya za ABS

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
634
Reaction score
410
Habari, jamani wataalam naomba msaada, kigari changu aina ya Toyota Verrosa
1. Waya wa ABS mkono wa kulia umekatika
2. Waya wa kufungulia buti umekatika (nikipata complete na wa tank la mafuta sawa)

Mwenye kujua, ambaye anazo au upatikanaji anijuze. Naishi Kigamboni

Asanteni wakuu
 
ABS WAYA NENDA NA FUNDI ILALA AU KARUME ZIPO NYINGI MNO FUNDI AZIPIME TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…