hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
shukrani sana kwa ushauriHiko kipindi mimi mwenyewe nimewai pitia miaka kama yako
afadhari ya wewe mimi nilikuwa kama terminator fulani no feelings
Ubaya sasa wanawake wengi walikuwa wanajiweka target ila nilikuwa naona kama mapenzi usumbufu basi ilikuwa ni mwendo wa kuwatolea nje mpaka marafiki zangu walikuwa wananicheka ila nilikuwa sijali mimi zangu zilikuwa magemu,mazoezi na kusoma vitabu
Kwa hiyo dogo huo muda ni mzuri wa kujifunza mambo mbalimbali kama mpira ,mziki,kuogelea,michezo ya ngumi
Pia hapo ndio muda mzuri wa kujenga maisha yako ya baadae hayo mapenzi huwa yanakuja baadae kwa sasa achana nayo kabisa
Wewe saivi furahia ujana wako vizuri
punguzo punyeto kijanaNina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa,
Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope.
Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa mpweke, napojitahidi kutongoza msichana najikuta naanza kumshauri badala yake.
Mbali na kuwa vizuri kitaaluma pia niliwahi kuwa head boy (hp) shuleni lakini hiyo haikuwa na msaada wowote kwangu kupata watoto wazuriwazuri, nahofia nitakuwa single milele[emoji22] nifanyeje??