Msaada: Nahofia nitakuwa single milele

Umesema una miaka 20 sio? Unafanya kazi gani ya kukuingizia KIPATO!? Subiri kwanza ukue, in fact we bado sana, ungekua msichana ningesema tofauti but kwa kua we ni mwanaume, bado saaaaaana
 
Kweli Binadamu tuko tofauti kabisaaaa!!! Mimi richa ya kuwa kauzu na kipondo juu!! tena kile cha Mbwa mwizi lkn ndo kwaaanza Mademu wananifuata na kunihonga juu!!

Kama huyu Joyce kagombana na Mumewe usiku akatoroka kwake akaniletea Maku mazimaaa!!! nikala wee!! akalala kwangu siku 7 nabweda tu! na hela kiduchu jamani nyie wanawake pwiii!
 
Wewe ni mchawi nini? Umeiba nyota ya mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitu vinakuja automatically we jipe mda

Nilikuwa mpiga chabo maarufu sahiv najaza mabasi kumi ya air force one
 
Ww ni mimi kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usilazimishe mapenzi, ndiyo kwanza una miaka 20 tu na uzuri si mwanamke hivyo hauna stress za kutafuta midume lukuki ikuweke mjini. Pambana na maisha yako kwa sasa.
 
Ukiendelea kulia lia bila kutafta hela ndoto yako itatimia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi vitu vinakuja automatically we jipe mda

Nilikuwa mpiga chabo maarufu sahiv najaza mabasi kumi ya air force one
Usimdanganye Mwenzio anazidi kuzeeka wewe!!! mda ni sasa umri ndo huu!!! unatakiwa wewe utafutwe popote wasilale wao!! au huna pesa?? nunua japo Beatle la zamani!! uwajaze humo!! utazikimbia nakwambia!!

Ndude hizi za ajabu sana yaani ukipiga mmoja tu haoooooooo wanaunga tela duu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…