Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

ushauri mzuri wengi hawaelezi changamoto unakutana nazo katikati ya safari na fedha imeisha
 
Hakuna kwanza ndo nasikia kwako kuwa ndege wanakula tikiti
 
Huku kukatua 50,000
Kuvuruga 50,000
Kupanda 50,000
Palizi 50,000
Kukodi 100,000
Kuvuna 100,000
Hapo mpunga upomkononi mwako
Mbolea na dawa hujagusa mkuu?
Usafirishaji kutoka shamba mpaka kwenye Ghala?
Vifungishio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…