Msaada najaza nini hapo?

Msaada najaza nini hapo?

hauzeeee45

Member
Joined
Jul 3, 2024
Posts
23
Reaction score
71
Wakuu kwanza nitangulize shukrani.

Wakuu mimi ni mhitimu wa diploma in nursing and midwifery, mwaka jana ndo nimemaliza elimu yangu ya diploma mwakani nataka nikapige degree in nurse anasthesia

Sasa nilikua naomba mkopo imefika sehemu ya kujaza Ftc hapo nimekwama

Angalia hapo kwenye picha unielekeze najazaje.

Screenshot_20240712_205908_Chrome.png
 
Back
Top Bottom