H hauzeeee45 Member Joined Jul 3, 2024 Posts 23 Reaction score 71 Jul 12, 2024 #1 Wakuu kwanza nitangulize shukrani. Wakuu mimi ni mhitimu wa diploma in nursing and midwifery, mwaka jana ndo nimemaliza elimu yangu ya diploma mwakani nataka nikapige degree in nurse anasthesia Sasa nilikua naomba mkopo imefika sehemu ya kujaza Ftc hapo nimekwama Angalia hapo kwenye picha unielekeze najazaje.
Wakuu kwanza nitangulize shukrani. Wakuu mimi ni mhitimu wa diploma in nursing and midwifery, mwaka jana ndo nimemaliza elimu yangu ya diploma mwakani nataka nikapige degree in nurse anasthesia Sasa nilikua naomba mkopo imefika sehemu ya kujaza Ftc hapo nimekwama Angalia hapo kwenye picha unielekeze najazaje.
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,208 Reaction score 2,352 Jul 13, 2024 #2 Subiri waje mkuu utapata suluhisho lako.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Jul 13, 2024 #3 Nini hiki?
H hauzeeee45 Member Joined Jul 3, 2024 Posts 23 Reaction score 71 Jul 14, 2024 Thread starter #4 DR SANTOS said: Nini hiki? Click to expand... Nilikwama kwenye kujaza taarifa hiyo kwenye mkopo ila nishafanikisha
DR SANTOS said: Nini hiki? Click to expand... Nilikwama kwenye kujaza taarifa hiyo kwenye mkopo ila nishafanikisha