Kama unamwamini Mungu utaamini falsafa hiyo, hivi unafikiri kwanini Mungu hajamuua Shetani?Unaamini katika falsafa ya mtu akikupiga kofi la kushoto unamgeuzia la kulia?
Basi Mkuu nenda kawaue hao watu wabaya unaowasemaKwasababu kaacha chaguzi kila mtu achague anavyotaka, hakutaka watu wampende by force
KubaliNimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu, nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao, jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.
Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
Pole na changamoto Chief.Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,
Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao,
Jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.
Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
Una majukumu? Kuna familia inakutegemea?Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,
Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao,
Jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.
Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
una familia?Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,