Msaada: Najitoaje katika kifungo cha hasira, vurugu, ukorofi?

Mahusiano yako na
Wazazi
Ndugu
Marafiki
Mapenzi yakoje ?
 
Pamoja na ushauri mzuri uliopata hapo juu,nakuongezea hili:Utaanza kuwa serious na matokeo ya tabia yako siku ukigombana na mwalimu au mwanafunzi pahali pa kazi.Hatua zitakazokupata ukiharibu kazini zitakukumbusha kuwa makini na tabia yako hii ta kukosa uvumilivu.Nimeshaona jamaa wengi tu walioharibu kazi ,kufukuzwa kazi na hata kufungwa kwa kukosa kutatua migogoro yao na wenzao kazini kwa busara.
 
Anza kutembeza mkono, kukasirika na makelele haitasaidia
Ni mpaka umfanye mmoja wapo kuwa mfano ndio heshima inakuwepo
 
JIUE!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…