Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Pumzika kwa amani mkuu
 
Kashakufa tayari jamaa aisee unaona moto unawaka afu unaingia
 
Vipi unatumia ndomu au unapiga kav? Pole sana kama unapiga kav.!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] asante jf kwa kunionesha ambavyo naamini haviwezekani kumbe vinawezekana.

Unafahamu kuwa ni chagudoa tena anajiuza bila kujificha,bado unasema kakuteka kimapenzi.
Kweli mapenzi upofu.
 
MWENYE HII MADA AMEFARIKI JANA MUWE WAELEWA MSIKOMENTI TENA HAPA
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] asante jf kwa kunionesha ambavyo naamini haviwezekani kumbe vinawezekana.

Unafahamu kuwa ni chagudoa tena anajiuza bila kujificha,bado unasema kakuteka kimapenzi.
Kweli mapenzi upofu.
Dah bahati mbaya hawezi kukujibu tena.. Katangulia mbele ya haki.. Nenda mwanakwenda Ibra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…