MSAADA: Nakala ya hukumu, Paulo Maduka & 4 others V R, na ya Salum Said Kanduru V R

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Ndugu zangu naomba mwenye kuweza kupata nakala hizi azimwage hapa jamvini. Nakala hizi naiona kwenye mtandao lakini niionayo hazina muhuri hivyo haiwezi kutumika kortini.

Naomba mnisaidie plse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…