Msaada: Nakojoa mkojo wa moto

ushauri ndio huu

Kunywa maji mengi
 
ulikua wa moto ila ss hv umezd kua wa moto unatoa mosh km maj yaliotoka jkon

Kama unatoka mvuke basi ujue filter imechakaa nenda hospital wakubadilishe filter.kuna ka filter kanakaa karibu na kinena kwa wanawake na karibu na tezi dume kwa wanaume
 
Iliwahi kunitokezea ila si wa moto hivo wa kutoa moshi wakati nlikua mjamzito na sababu hasa nlikua nakunywa pomegranate juice nlipoacha ikakata.....ila nkila fresh tunda lenyewe wala haiwi hivyo
 
Iliwahi kunitokezea ila si wa moto hivo wa kutoa moshi wakati nlikua mjamzito na sababu hasa nlikua nakunywa pomegranate juice nlipoacha ikakata.....ila nkila fresh tunda lenyewe wala haiwi hivyo

Fakrinaaa upo? Mwanao hajambo
 
Pima UTI, halafu check magonjwa ya STIs, otherwise mkojo kutoa moshi siyo ishu sana kwani saa nyingine inategemea na hali ya hewa. kama kukiwa na hali ya baridi basi ukikojoa lazima moshi/mvuke utoke, unaweza kuuliza watu wanaotoka maeneo ya baridi kama Moshi, Arusha, Mbeya, Iringa nk. watakupa ushuhuda.
 
ukiwa unaishi sehemu yenye baridi ni kawaida kuona mvuke ukitoka kwenye mkojo unapo mwagika. sidhani kama kuna tatizo lakini bora pata maoni ya daktari
 
Ingia kwenye friji kisha uiwashe baada ya muda utoke ukojoe uone mabadiliko kisha utoe taarifa hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…