dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,134
Habar za sahizi wakuu,
Najua kwa kufika hap na kuandka hya ntawza kupata suluhisho sahihi kwa kile kinacho nisumbua wataalam wa saikolojia naomba mnisahidie juu ya hili mimi ni kijana me.
Kuna tatizo linanisumbua sna tatizo langu huwa nakosa furaha ya maisha furaha ikitokea bas huwa niyamuda mfupi tu inafkia hatua natumia vilevyi hyo ndo naona ndo furaha yangu mpka nmekua addictated pia nimeanza kuwa na hasira sana kiasi kwamba mda wowote naweza badilika hivyo hata watu pia hushindwa kunielewa hasa mpenzi wangu.
Mda mwingine nataman inisiwe karibu na mtu yoyote yule najiona sina msaada wala uwezo wowote kwa jamii yangu najiona nmetengwa sielewi kabisa mpka huwa naona hali inapoenda inakuwa mbaya zaidi nahisi naweza kuwa hata kichaa nashindwa hata kusoma kabisa kila nachofanya najikuta nakua board nacho kabisa sijui nifanye nini.?
Tafadhali mawazo na mchango wenu vinaweza kua msaada kwangu usichukulie utani tafadhali nahitaji msaada