Asante mkuu,
Imiversity of dodoma,saint jhon,tumain unibersity dar,teofilo kisanji tabora na sant agustino
Kaomba bachelor ya education.anaitwa hezron marwa s1898/0017/2010

umepanic mwenyewe sasa sijui wewe unakufa vipi? acha pressure jina lipo chuo cha TUDARCO tumaini
sasa sielewi uliangalia mwenyewe au uliangaliziwa jadi iseme jina hamna
umepanic mwenyewe sasa sijui wewe unakufa vipi? acha pressure jina lipo chuo cha TUDARCO tumaini
sasa sielewi uliangalia mwenyewe au uliangaliziwa jadi iseme jina
hamna
Asante kaka yangu hapa natumia simu ndogo net yenyewe yakuunga tangu usiku nafanya kaxi ya kitafuta sijala hadi mda huu.barikiwa
ko umeridhika now??????nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
Mungu akubariki mkuu kwa kumsaidia dada yetu! Tatizo alipanic, nipende kuwatarifu tu ndugu ni hivi kama walikuandikia kuwa upo selected basi hauwezi kukosa kwenye kozi zote ulizoomba.
kanishtua uyu kiumbe asiyejua namna ya kutumia lugha.alipanic balaa yaani
Asante kaka yangu hapa natumia simu ndogo net yenyewe yakuunga tangu usiku nafanya kaxi ya kitafuta sijala hadi mda huu.barikiwa
Nyie watu wengine mnachezea sana habari ya kifo kirahisi rahisi namna hiyo...umetafuta kwa makengeza yako na mapupa na wakati simu yenyewe tena kimeo.
Kwanini msiwe mna tulia?? Tena bora ungeandika tu naomba mwenye kuweza kunisaidia kuona jina tungekuelewa kuliko kutukurupusha tukizani alshabab wamekudaka wanataka kukuchinja...hovyo kabisa weye...mmmxxx!!
ko umeridhika now??????nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
Nyie watu wengine mnachezea sana habari ya kifo kirahisi rahisi namna hiyo...umetafuta kwa makengeza yako na mapupa na wakati simu yenyewe tena kimeo.
Kwanini msiwe mna tulia?? Tena bora ungeandika tu naomba mwenye kuweza kunisaidia kuona jina tungekuelewa kuliko kutukurupusha tukizani alshabab wamekudaka wanataka kukuchinja...hovyo kabisa weye...mmmxxx!!
umeona eee afu majina yenyewe yapo kama 116 tu kwenye kozi yake sema ndo ivo pressure
kwa simu ndogo usingeona milele cuz majina yapo katika pdf format. ho gera zake pia chuo atafungua tare 20/10