Msaada: Namba ya huduma kwa wateja NHIF

Msaada: Namba ya huduma kwa wateja NHIF

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
Kuna rafiki amepata tatizo la kadi ya mtoto anaambiwa haijalipiwa wakati yeye (mlipaji) anatumia ya kwake bila shida. Nimempa namba za hotline nilizokuwa nafahamu, zote hazipatikani?
0800110063
0800111163

Naomba mwenye namba mbadala please.
 
Wachek Kwa email ya makao makuu .

NHIF Kwa sasa huduma zao zina walakin sana
 
NHIF natumia 199 fuata maelekezo then utabonya kuongea na mtoa huduma
Hata mie namalizana nao kwenye hiyo hiyo namba, tena wana customer care nzuri sana kuliko hata ukifika ofisi zao... kikubwa awe mvumilivu tu anaweza akasubiri kuunganishwa hata baada ya dkk 15.
 
Hata mie namalizana nao kwenye hiyo hiyo namba, tena wana customer care nzuri sana kuliko hata ukifika ofisi zao... kikubwa awe mvumilivu tu anaweza akasubiri kuunganishwa hata baada ya dkk 15.
Yeah,muda wa kusubiri mpaka kuunganishwa ndio changamoto,
 
Back
Top Bottom