I ISIMBA Senior Member Joined Feb 7, 2013 Posts 144 Reaction score 30 Jun 2, 2014 #1 Nlikua najaribu kulipa loan application fee ya HESLB kwa M-pesa (Tshs 30,000). Sasa wakati nikifata process kuna mahali wakaniambia "Ingiza namba ya kumbukumbu." Mimi hiyo namba ya kumbukumbu siifahamu naomba kujuzwa please...!
Nlikua najaribu kulipa loan application fee ya HESLB kwa M-pesa (Tshs 30,000). Sasa wakati nikifata process kuna mahali wakaniambia "Ingiza namba ya kumbukumbu." Mimi hiyo namba ya kumbukumbu siifahamu naomba kujuzwa please...!
M MAPINDUZI75 Member Joined Feb 5, 2011 Posts 47 Reaction score 10 Jun 2, 2014 #2 Namba yako ya mtihani ya form four ndo kumbukumbu namba yako, eg s216.180.2005
I ISIMBA Senior Member Joined Feb 7, 2013 Posts 144 Reaction score 30 Jun 2, 2014 Thread starter #3 MAPINDUZI75 said: Namba yako ya mtihani ya form four ndo kumbukumbu namba yako, eg s216.180.2005 Click to expand... Asante mkuu ngoja nijaribu tena
MAPINDUZI75 said: Namba yako ya mtihani ya form four ndo kumbukumbu namba yako, eg s216.180.2005 Click to expand... Asante mkuu ngoja nijaribu tena
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 668 Jun 3, 2014 #4 MAPINDUZI75 said: Namba yako ya mtihani ya form four ndo kumbukumbu namba yako, eg s216.180.2005 Click to expand... mkuu hiv ile s au p ya mwanzo inaanza na herufi ndogo au kumbwa?
MAPINDUZI75 said: Namba yako ya mtihani ya form four ndo kumbukumbu namba yako, eg s216.180.2005 Click to expand... mkuu hiv ile s au p ya mwanzo inaanza na herufi ndogo au kumbwa?
Mchokozi wa mambo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 201 Reaction score 159 Jun 3, 2014 #5 Namba ya kumbukumbuku ni Index Namba yako ya fomu 4 mfano S1212.0011.2011:baby:
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 668 Jun 3, 2014 #6 Mchokozi wa mambo said: Namba ya kumbukumbuku ni Index Namba yako ya fomu 4 mfano S1212.0011.2011:baby: Click to expand... ok thanx,
Mchokozi wa mambo said: Namba ya kumbukumbuku ni Index Namba yako ya fomu 4 mfano S1212.0011.2011:baby: Click to expand... ok thanx,
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Jun 4, 2014 #7 mbona hujarudisha feedback?