Msaada namba ya TALA

Msaada namba ya TALA

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,221
Reaction score
22,496
Kichwa cha habari chahusika, naomba mwenye mawasiliano ya kampuni ya mikopo ya TALA anisaidie nina laki 4 yao nataka kuwalipa.

Natanguliza shukran!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TALA kwisha habari yao. Hivi hawa BRANCH lini wataachia ngazi? Nimewakopa pole pole mpaka imefika laki nane na kitu. Kwa kweli naona uchungu sana kurejesha hii pesa. Hivi nawezaje kuwatoroka?
 
TALA kwisha habari yao. Hivi hawa BRANCH lini wataachia ngazi? Nimewakopa pole pole mpaka imefika laki nane na kitu. Kwa kweli naona uchungu sana kurejesha hii pesa. Hivi nawezaje kuwatoroka?
kama ujasajili line kwa alama za vidole piga kimya mkuu subilia 11:59
 
hizo namba naisi ata BRANCH wazichukia
 
Attachments

  • 1159.png
    1159.png
    39.5 KB · Views: 5
Back
Top Bottom