Nisaidie email yao mkuu, sitaki kukaa na hela yaoLabda utume kwenye email yao.
Ndio ipi ama gani. Hivi ni naharage gani huwa unakulaga wee NyauLabda utume kwenye email yao.
kama ujasajili line kwa alama za vidole piga kimya mkuu subilia 11:59TALA kwisha habari yao. Hivi hawa BRANCH lini wataachia ngazi? Nimewakopa pole pole mpaka imefika laki nane na kitu. Kwa kweli naona uchungu sana kurejesha hii pesa. Hivi nawezaje kuwatoroka?