youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Wakubwa shikamoni wadogo habari zenu,
Naombeni msaaada namba yangu ya NSSF Inatumika kwa watu wawili na wakwanza ndiye kapewa kadi yenye namba ninayotumia mimi ambaye sina kadi hiyo.
Je, niweze kupata Membership ?