Msaada: Namba za kadi yangu ya NSSF zimeingiliana

youngashley

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
187
Reaction score
52
Wakubwa shikamoni wadogo habari zenu,

Naombeni msaaada namba yangu ya NSSF Inatumika kwa watu wawili na wakwanza ndiye kapewa kadi yenye namba ninayotumia mimi ambaye sina kadi hiyo.

Je, niweze kupata Membership ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…