Msaada: Namna gani naweza kusafirisha vitu vya ndani kutoka Zanzibar kwenda Dar?

Msaada: Namna gani naweza kusafirisha vitu vya ndani kutoka Zanzibar kwenda Dar?

Abdull hameed

New Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
4
Reaction score
1
Habari Wadau

Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
 
Hatua ya kwanza, nenda kwa Sheha akuandikie barua kua unahama na katika barua Hiyo itoe orodha ya vitu ulivyo navyo, Barua iwe na picha yako na igongwe muhuli hapo kwenye picha yako.. Kupitia hiyo barua Tra Hautotozwa kodi yoyote utavilipia tu kwenye boti kama gharama ya kubebewa mzigo..
 
Back
Top Bottom