Abdull hameed
New Member
- Jan 29, 2025
- 4
- 1
Uza vyote, tutanunua vingineHabari Wadau
Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
Nenda kwa sheha wako, mweleze atakupa barua ikiwa imeandikwa vitu unavyohama navyo ikiwa na muhuri wake bandarini hawataku charge.Habari Wadau
Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
hv sheha ni nani n kama mjumbe au vpNenda kwa sheha wako, mweleze atakupa barua ikiwa imeandikwa vitu unavyohama navyo ikiwa na muhuri wake bandarini hawataku charge.
Sheha ni kama mwenyekiti wa serekali ya mtaa kwa Tanganyikahv sheha ni nani n kama mjumbe au vp
Ila aanzie kwa shekha yakheeeeunaweza pakia kwenye magari ya baharesa, tafuta connection tu bei yake sio kali.
Ila aanzie kwa shekha yakheeee
Ok ahsanteunaweza pakia kwenye magari ya baharesa, tafuta connection tu bei yake sio kali.