Mkuu upo vema. Ngoja nikutafute unishauri zaidiKiwanda kidogo cha uchapishaji : kinahitaji mashine zifuatazo ,printing machine, ( ya kuchapa) paper cutter(ya kukata karatasi) folding machine ( kukunja) perforation machine ( ya kutoboa) stitching machine ( kushona / kuunganisha Vitabu) grising machine ( kuchora michirizi) nk inategemea na ukubwa wa kiwanda ,lakini pia utatakiwa uwe na secretarial services machines kama computer, printer,scanner ,nk machine nyingi zinagharama kubwa hivi unaweza kununua used hasa kwa machines more machenical ila usinunue digital machine used utalia ,
Kwa Maelezo zaidi itabidi nijue mtaji unaotaka kuanzia nitakushauri , 0762576878/ call 0762781778 what's up
Mkuu kwa makadirio ukiwa na mtaji kiasi gani unaweza kuanzisha hicho kiwandaKiwanda kidogo cha uchapishaji : kinahitaji mashine zifuatazo ,printing machine, ( ya kuchapa) paper cutter(ya kukata karatasi) folding machine ( kukunja) perforation machine ( ya kutoboa) stitching machine ( kushona / kuunganisha Vitabu) grising machine ( kuchora michirizi) nk inategemea na ukubwa wa kiwanda ,lakini pia utatakiwa uwe na secretarial services machines kama computer, printer,scanner ,nk machine nyingi zinagharama kubwa hivi unaweza kununua used hasa kwa machines more machenical ila usinunue digital machine used utalia ,
Kwa Maelezo zaidi itabidi nijue mtaji unaotaka kuanzia nitakushauri , 0762576878/ call 0762781778 what's up
Manual script =/= Manuscript !Ukifanikiwa fungua hiki kiwanda unijulishe mkuu, nina manual script yangu nataraji publish kitabu kwako.
Good Luck