nilikuwa nafanya kama unavyo sema hilo la kutoa matumizi tena nilikuwa natuma pesa ya wiki nzima kila wiki kwa siku10000 ikipungua sana ni 7000 ila mwisho wasiku akaniambia kukaa nyumban kumemshinda iko hivyo mkuu.Mtumie hela ya matumizi ili akae nyumbani alee mtoto. Unalalamika mama kufanya kazi wakati hutumi pesa ya matumizi,
Wewe ni mzazi usie wajibika, ukimchukua wewe ndio utakuwa unakaa naye 24/7 hutamwacha kwa watu wengine na kwenda kufanya kazi zako?
Nilikuwa nafanya kama unavyosema hilo la kutoa matumizi tena nilikuwa natuma pesa ya wiki nzima kila wiki kwa siku 10000 ikipungua sana ni 7000 ila mwisho wa siku akaniambia kukaa nyumbani kumemshinda iko hivyo mkuu.