Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
ndugu wana jf nmekuwa na jambo linalonitatiza na nategemea msaada wenu. Mm ni muajiriwa mwaka huu kama mwalimu wa sek. But nimepata kaz BANDARI YA dsm,hvyo natakakufaham taratbu za kisheria za kufuata ili ntakapoenda kuajiriwa pasiwe na kikwazo,niliona vema kuacha kimya bila taarifa ili wanifute,je hlo linaathari gan ukzingatia nina siku tatu kuondoka.tafadhl nisaidien.