Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
kaanze kaz bandarin upate pesa nyingi. Sheria ya kuacha kaz itakuchelewesha, uzur hata tsd no bado hujapewa sivyo? Haitasumbua sana, andika barua kwa ded wako singizia afya yako mbaya hivyo huwez kuendelea na kaz.
nyamaza tu wakiona kimya,wanakata tu mshahara,ukiwaambia umepata kazi watakusumbua,wacha wakuone mtoro
mwandikie mwajiri kuwa unaomba likizo bila malipo kwa sababu "zisizoweza kuzuilika". Then nenda bandari. Kule bandari watakuweka kwenye probation period. Ile probation ikiisha na ukawa conformed bandari then unaweza kumwandikia mwajiri wako wa awali kuwa hutarudi tena kazini.
Likizo bila malipo is a good insurance kwako just in case it doesnt work out well with bandani.
nashukuru kaka,hofu yangu nipale ntakapo wekwa kwenye data base yao na kuonekana nimeajiriwa kwingne coz probation ntakuwa napatiwa check no. Pia.alafu tulioajiriwa hatuna kibadil cha likzo yoyote.msaada plz.
Unaweza kuacha kazi kwa kutoa notisi ya mwezi mmoja kitu ambacho umeshachelewa.......njia ya pili ni kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja badala ya kutoa notisi ya mwezi mzima hii ni njia rahisi kama unataka kuachana naye moja kwa moja .............au omba likizo bila malipo
ndugu wana jf nmekuwa na jambo linalonitatiza na nategemea msaada wenu. Mm ni muajiriwa mwaka huu kama mwalimu wa sek. But nimepata kaz BANDARI YA dsm,hvyo natakakufaham taratbu za kisheria za kufuata ili ntakapoenda kuajiriwa pasiwe na kikwazo,niliona vema kuacha kimya bila taarifa ili wanifute,je hlo linaathari gan ukzingatia nina siku tatu kuondoka.tafadhl nisaidien.

Mkuu ebu tupe mrejesho wa hii kitundugu wana jf nmekuwa na jambo linalonitatiza na nategemea msaada wenu. Mm ni muajiriwa mwaka huu kama mwalimu wa sek. But nimepata kaz BANDARI YA dsm,hvyo natakakufaham taratbu za kisheria za kufuata ili ntakapoenda kuajiriwa pasiwe na kikwazo,niliona vema kuacha kimya bila taarifa ili wanifute,je hlo linaathari gan ukzingatia nina siku tatu kuondoka.tafadhl nisaidien.