Nasimama na hii commentJaribu ku google jinsi ya kuandaa mbegu za maboga/namna ya kuziandaa
1. Peta na ondoa uchafuAsantee
pia kama una blender ya kusagia vitu vikavyu unaweza sagia tu,1. Peta na ondoa uchafu
2. Osha vizuri hakikisha michanga na uchafu wote unatoka
3. Anika juani zikauke vizuri
4. Kaanga kwa moto mdogo, zitakuwa zinanukia vizuri ila uwe makini usiunguze
5. nenda kasage mashineni,
6. Beba na mahindi yako masafi ili yaking'ang'ania mashineni unaweka mahindi yako kusafisha mashine hiyo, beba unga wako na mahindi yenye mchanganyiko wa mbegu za maboga.
1. Peta na ondoa uchafu