Msaada: Namna ya kuandikishiana mkataba wa bodaboda

Usimkatishe tamaa mwenzako nmejenga kwa biashara ya bodaboda,nilianza na mbili na sasa nnazo 5 na bajaji 3 kwa kipindi cha miaka 6 na nnampango wa kuwa na kampuni ya usafirishaji na ndio ndoto yangu. Bila mia huweza pata milioni.
jiongeze mkuu upate daladala,inalipa
 
Naomba mkataba wa kuandikishana na bajaji au bodaboda wadau mungu kaniona nimecheza tatumzuka nikashinda ka m.ten nimechukua kibajaji nataka nimpe mtu apige kazi
 
Sorry email yangu ni GodfreyBuberwa@ yahoo.com nitumie huo mkataba plz.
 
Aisee mkuu na mimi nauomba huo mkataba :cleophance98@gmail.com
 
Tupe mrejesho ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…