Msaada: Namna ya kuangalia uhalali wa kiwanja kwa smart phone

Msaada: Namna ya kuangalia uhalali wa kiwanja kwa smart phone

F35-Bomber

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
1,345
Reaction score
1,069
Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu.

Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia App au formula yoyote ile kwa simu janja.

Naomba msaada wenu juu ya hili.
 
Back
Top Bottom