Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
Habarini ya Jumapili wakuu, mimi ni kijana wa miaka 23 nipo sam wea chuoni namalizia degree yangu fulani, leo nimekuja kuomba msaada wa kimawazo namna ya kuyaingia maisha ya mtaani.
To put things in persective, ninaishi kwa wazazi wa hali ya chini(milo miwili ya kubahatisha) Dar es salaam....
Mwenyewe nilikua na mpango wa kutumia pesa ya kujikimu chuoni kuanzisha biashara ya playstation kwa ajili ya kuanza maisha taratiiibuh😎. Kwa wazoefu wa maisha huko mtaaani naomba mawazo yenu...