Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
Taayari home kuna kafrem kauongo na kweli ni marekebisho kidogo...ila vifaa bado sijanunua nipo kwenye mpango wa kununuaKaribu mtaani mkuu, hiyo hela ya kujikimu unayo kiasi gani na vitu vya kuanzisha ps unavyo tayari?
Taayari home kuna kafrem kauongo na kweli ni marekebisho kidogo...ila vifaa bado sijanunua nipo kwenye mpango wa kununua
Nashukuru kwa ushauriNaomba kabla hujaanza hiyo biashara ya play station fanya utafiti wa kutosha ili usijeifunga kabla hata pesa haijaanza kurudi.
Kama n mtaani ujiandae kupata malalamiko kutoka kwa wazazi ya watoto kuiba ela au kutoenda shule wanakuja kucheza games.
Tafuta site nzuri if possible fungua salon ya kawaida mtaani, tafuta kinyozi mzuri mkubaliane goli kwa wiki umkabidhi ofisi mda huo ukipanga kujishughulisha na shughuli nyingine ndugu.
Thankz mkuu....nipo aware na hilo jamboMaisha yanaanza pale unapojua upo hapa duniani kwa ajili ya kutimiza kusudi.
Ni kusudi lililowekwa na Mungu maana ndiye aliyetuumba ili tulitekeleze.
Njia pekee ya kung'amua uishije kwa mujibu wa kusudi ni kumuuliza Mungu mwenyewe au kupitia mwongozo wa neno la Mungu.
Bahati mbaya wanadamu tunaishi kwa kuongozwa na tamaa zetu.
Mkuu kama unataka kukomboa wakati, nguvu na kutoangamia kwa kukosa maarifa don't let human beings judge your life kama unavyofanya hapa but God.