Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati unasoma ulikuwa na malengo gani?Habari wadau wa JF. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka 8,idara ya elimu nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii.naombeni mawazo yenu hatua zipi nifuate ili niweze kubadilisha idara.