Black list ndio unahusika hpoHabari kuna mtu ananisumbua sana kwamsg za matusi je kuna njia ya kumblock?
Msg a kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukishaadownload unafanyeje?Mkuu inategema unatumia simu ya aina gani.Kama ni Nokia ya torch iyo option hamna.Ila kama ni smart phone unaweza uka download True caller app ina option ya kublock calls na mesaages.