Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Salaam wana uchumi,wafanyabiashara na wajasiriamali.
Baada ya kuachana na akaunti ya bank miaka 6 iliyopita nlipokua natunza fedha zangu za boom na baada ya kumaliza chuo nkabaki choka mbaya akaunti ikafungwa
Kitaa napiga dili za hapa na pale sina hela ya kwenda kuitunza bank
Sasa Leo nimejikalia zangu ghetto nawaza na kuwazua mambo nkapata wazo nianze kutunza hela kidogo kidogo ninazopata kwa kutumia kibubu
Sasa wale wenye uzoefu wa kutumia kibubu ebu nipeni mbinu ya kufanikiwa kutunza fedha zangu ili siku nikivunja akaunti yangu ya kibubu nitoke na donge nono
Pia natakiwa niwe naweka hela kiasi gani kwa siku
Msaada please wa mawazo
Alamsiki.