Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

Ndg zangu kama kichwa kinavosoma.

Nilinunua simu nikizani ni samsung galaxy s10 plus lkn cha ajabu nakutana na logo ya docomo. Kijapani kibao kwenye simu. Kiukweli inaniboa mno.

Nafanyaje kuondoa hiyo ndg wanajamvi
 
Akuna mbadala maybe upige rom , docomo ni ISP huko japan kama sijakosea
 
Docomo sio japan ni korea hiyo..acga udhamba hiyo chuma ni OG sana..naziamini sana samsung mkorea maana hiyo ndio OG
 
NTT DoCoMo is a Japanese carrier kama unavyoona Airtel, TTCL, Voda n.k

Hivyo hiyo ni Samsung Galaxy ambayo imekuwa branded kwa jina la kampuni ya mawasiliano ya Docomo tu...

Ukitaka kuondoa hiyo OS inabidi uiflash simu
 
mkuu me co mtaalamu sana wa ufundi wa simu kama naweza badilisha os manake naenda kwa fundi afanye ivo... vp kuhusu usalama wake haitaleta shida badae labda ya network ndg
 
n
Docomo sio japan ni korea hiyo..acga udhamba hiyo chuma ni OG sana..naziamini sana samsung mkorea maana hiyo ndio OG
nashukuru sana kwa iyo ushauri japo naoma kama ina shida hivi cwezi kuswipe up ili nipate apps... kama simu zingine
 
Mi pia ninatumia s21 docomo mbona iko vizuri sana tena haichuji ubora camera iko vizuri kama nilivyoinunua tu. sema kuna app za kikorea ambazo hazifutiki so we zipotezee...kwan play store si ni android tu kama kawaida?
 
Docomo haitaki uwe unajishtukia we ukishindwa ipige hela uspige domo
 
Docomo sio japan ni korea hiyo..acga udhamba hiyo chuma ni OG sana..naziamini sana samsung mkorea maana hiyo ndio OG

Kwa kuwa ni mvivu hata ku google, jiridhishe hapa...

Hapo hadi utafute means za ku unlock bootloader, uwe na root then ndio uanze kufikiria kubadili boot animation, sio kazi rahisi mkuu,
Ni kipengele kizito kama hana idea kabisa na mambo ya simu ataishia kuzalisha matatizo tu.... Kama haina shinda ye aishi nayo tu ivoivo.
 
Back
Top Bottom