Settings2024
New Member
- Mar 7, 2024
- 3
- 8
mkuu me co mtaalamu sana wa ufundi wa simu kama naweza badilisha os manake naenda kwa fundi afanye ivo... vp kuhusu usalama wake haitaleta shida badae labda ya network ndgNTT DoCoMo is a Japanese carrier kama unavyoona Airtel, TTCL, Voda n.k
Hivyo hiyo ni Samsung Galaxy ambayo imekuwa branded kwa jina la kampuni ya mawasiliano ya Docomo tu...
Ukitaka kuondoa hiyo OS inabidi uiflash simu
nashukuru sana kwa iyo ushauri japo naoma kama ina shida hivi cwezi kuswipe up ili nipate apps... kama simu zingineDocomo sio japan ni korea hiyo..acga udhamba hiyo chuma ni OG sana..naziamini sana samsung mkorea maana hiyo ndio OG
Samsung ni mkorea mzee izo nyingine zinachuja mapeman
nashukuru sana kwa iyo ushauri japo naoma kama ina shida hivi cwezi kuswipe up ili nipate apps... kama simu zingine
Docomo sio japan ni korea hiyo..acga udhamba hiyo chuma ni OG sana..naziamini sana samsung mkorea maana hiyo ndio OG
Ni kipengele kizito kama hana idea kabisa na mambo ya simu ataishia kuzalisha matatizo tu.... Kama haina shinda ye aishi nayo tu ivoivo.Hapo hadi utafute means za ku unlock bootloader, uwe na root then ndio uanze kufikiria kubadili boot animation, sio kazi rahisi mkuu,