Panda magari ya Chamwino...shuka mji wa Serikali ,ukifika hapo jiongeze ....kuwa makini,unaweza kuta Wizara nyingine huko Zina PS wa Waziri,Km na Wakurugenzi 2,3...!
Lazima ujue unafuata issue gani Wizarani...ndio ujue uende Mtumba au la[emoji847][emoji847]
kama unamaanisha chamwino ikulu kwa mheshimiwa kutoka sabasaba ni 35km tu.Shukrani mkuu. Hivi chamwino ni wilaya nyingine kabisa kutoka hapa mjini au mtu unaweza kwenda na kurudi siku hiyohiyo?
Huku panakoitwa mji wa serikali pako ukiwa kweli kweli, hakuna huduma za kijamii.
Bado ziara inaendelea.