Msaada: Namna ya kufuga samaki

Kugeuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
333
Reaction score
225
Habari za jioni wanajamvi.

Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi au anayejua namna ya ufugaji wa samaki. Upatikanaji wa mbegu, uchimbaji wa kisima, chakula, muda wa kuvuna toka kupanda na namna ya upatikanaji wa soko la uhakika.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kua makini na January ila pia mimi ni mtaalamu nimesoma Fisheries nyegezi na nikamaliza degree yang u SUA nikuombe nikuweke kwenye group langu ujifunze kisha utauliza na ukijihakikishia niambie 0769752665 nicheck WhatsApp
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…