Wadau amani kwenu, nimekuwa nina ndoto ya kufungua kampuni ya consultancy, nimepitia website ya BRELA, lakini naomba uzoefu kwa wale waliofanikiwa hasa kuhusu mtaji, maana hii ndio changamoto kubwa sana.karibuni kuchangia kama kuna makosa ya uandishi nisameheni.