Msaada namna ya kufungua kampuni

Chazal

Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
26
Reaction score
28
Wadau amani kwenu, nimekuwa nina ndoto ya kufungua kampuni ya consultancy, nimepitia website ya BRELA, lakini naomba uzoefu kwa wale waliofanikiwa hasa kuhusu mtaji, maana hii ndio changamoto kubwa sana.karibuni kuchangia kama kuna makosa ya uandishi nisameheni.
 
Piga namba 0713 222 332 Na ueleze shida yako utasaidiwa haraka Na kwa uhakika
 
Kuna jamaa wanaitwa Anjoa nadhani wapo humu kama members. nilishawahi ku deal na mmoja mcheck kwa [HASHTAG]#0759692024[/HASHTAG] waliwahi kunisaidia kufanya kazi kama hiyo!!!
 
hapana kaka, inategemea na aina ya shughuli unazotaka kufanya katika kampuni yako, mfano kampuni za kufanya usafi, fumigation hazihitaji mtaji mkumwa ni office na sanduku la posta bac
 
Unajua nini kuhusu neno Kampuni?kampuni ni nini? Ukijua hilo then ungejua why And how!
 
hapana kaka, inategemea na aina ya shughuli unazotaka kufanya katika kampuni yako, mfano kampuni za kufanya usafi, fumigation hazihitaji mtaji mkumwa ni office na sanduku la posta bac
Una uzoefu wowote kuhusu kampuni za namna hii mkuu
 
hapana kaka, inategemea na aina ya shughuli unazotaka kufanya katika kampuni yako, mfano kampuni za kufanya usafi, fumigation hazihitaji mtaji mkumwa ni office na sanduku la posta bac
Una uzoefu kuhusu kampuni za aina hii, usafi na fumigation ?
 
Mimi nimemaliza chuo ni technician wa(civil) ujenzi nanina mtaji we milion moja sasa naeza kweli fungua kampuni ya ujenzi class 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…