xavihernandezalcantara
Senior Member
- Nov 17, 2020
- 124
- 132
Mpaka siku nikitaka kuirudisha? Ina maana sijafuta hapo mkuu au?1.tumia web ya kawaida mfano google chrome au nyingine
2.type log in instagram...
1.tumia web ya kawaida mfano google chrome au nyingine
2.type log in instagram
3.baada ya hapo log in accont yako
4. nenda kwenye settings
5. tafuta sehem walioandika disable account
6.baada ya hapo uta confirm kwa kuandika pasword
.
account yako haitaonekana tena mpaka siku ukitaka kuirudisha
Dah...kwa kifupi huwezi futa akaunti kwenye mitandao ya kijamii...karibu yote ni miradi ya FBI...Sina uhakika na JF tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu poleni na majukumu,
Naombeni msaada namna ya kufuta Account ya Instagram isionekane tena. Msaada kwa anaefahamu. Ni hayo tu.
#Forgive Me
Inazingua