Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Ni mzigo mkubwa wa bati ngumu za mageti (Sheets)...
zina urefu na upana sawa wa futi nane kila upande,Zipo nne, lilikuwa banda hivi sasa nimelikata kata sasa nalihamisha kutoka huko mkoani mwanza kuja huku Dar...
Nasema hivyo maana hadi sasa sijapata mtu au kampuni ya kufanya shughuli hiyo.
Msaada tafadhari...