Yaani hilo banda lilitengenezwa kwa sheet nane na unafahamu sheet moja ina urefu 4*8 kwahiyo nilipolikata upana ni sheet mbili mara 2 ni nne na upana ni sheet mbili mara 2 ni nne jumla nane....ok kuna sehemu haujaelewa?Bati piece nne sio mzigo mkubwa, toa maelezo kamili upate kusaidiwa mawazo, ikibidi weka picha zina thickness ya mm ngapi!?.. kama zipo square ushauri namba moja uza hizo bati Mwanza njoo Dar nikuonyshe machimbo ya bati hizohizo kwa bei nzuri. Endapo utapata mteja mzuri tofauti itakuwa ndogo sana na kuhangaika kuzisafirisha.
Nimeelewa mkuu, Kuna gari zinaleta mizigo Mwanza na kurudi Dar zikiwa tupu, tafuta kituo cha magari ya mizigo au fata ushauri wa mdau hapo juu. Njia nyingine ni Train ya mizigo reli ya kati, huwa wanalipisha mizigo ela kidogo kulinganisha na magari. Sijui kwa siku hizi kama ipo hewani.Yaani hilo banda lilitengenezwa kwa sheet nane na unafahamu sheet moja ina urefu 4*8 kwahiyo nilipolikata upana ni sheet mbili mara 2 ni nne na upana ni sheet mbili mara 2 ni nne jumla nane....ok kuna sehemu haujaelewa?
asante, hili la treni ndiyo nimelisikia kwako ngoja niulizie kama lipoNimeelewa mkuu, Kuna gari zinaleta mizigo Mwanza na kurudi Dar zikiwa tupu, tafuta kituo cha magari ya mizigo au fata ushauri wa mdau hapo juu. Njia nyingine ni Train ya mizigo reli ya kati, huwa wanalipisha mizigo ela kidogo kulinganisha na magari. Sijui kwa siku hizi kama ipo hewani.