WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 949
Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga.
Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani.
1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi?
>>Ibara ndogo Ni Nini na zinapatikana wapi?
2: Sheria ndogo Ni zipi na zinapatikana wapi? Na kwenye katiba, unakuta imeandikwa sheria namba, hizi sheria zenye namba zipo wapi na nazipataje?
Na je katiba imekamilika na ina vyote nilivyo-viuliza hapo juu vipo vyote? Na vyote vinapatikana ndani ya katiba moja.?